Saturday, September 10, 2011

breaking news!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

watu 250 wameokolewa wakiwa hai katika meli iliyo zama ya mv spice islanders iliyokuwa inatoka bandari ya malindi ikielekea bandari ya wete kisiwani pemba...tuombe wengi waokolewe.....kwa kweli huu ni msiba mkuba

No comments: